Mwanzo » » WASTARA ALIZAA NA RAPPER HUYU KABLA YA KUWA NA SAJUKI.

WASTARA ALIZAA NA RAPPER HUYU KABLA YA KUWA NA SAJUKI.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 8 March 2014 | 13:43


Mwanadada anayetambulika uwepo wake katika sanaa ya movie bongo kwa ia la Wastara Juma alikuwa katika mahusiano na Rapper Solo Thang na walifanikiwa kupata mtoto na hiyo ni taarifa ambayo Wastara mwenye kupitia ukurasa wa mtandao wa picha wake wa Instagram kwa kudai hakuwahi kugombana na Solo na walitengana kwasababu za kimaisha tu na upendo kwake ni ule ule kama aliokuwa nao kwa Sajuki.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa