Mwanzo » » MREMBO WA BONGO MOVIE AMANDA AMWAGA MATUSI LUNDO FACEBOOK , MCHAPO MZIMA HUKO HAPA.

MREMBO WA BONGO MOVIE AMANDA AMWAGA MATUSI LUNDO FACEBOOK , MCHAPO MZIMA HUKO HAPA.

Imewekwa ma Unknown siku Friday 28 March 2014 | 08:08

Stori:Gladness Mallya
MWANADADA anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa matusi na mdada wa mjini aliyejulikana kwa jina la Jesca kisa kikidaiwa ni baada ya kutangaza kuwa, yeye na mume wake wa zamani, Hamis Bwela bado ni damudamu.
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’.
Akizungumza hivi karibuni na Ijumaa, Amanda alisema kuwa, Jesca alianza kumtukana kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook akihisi huenda yeye na Bwela bado wanaendeela wakati hakuna chochote zaidi ya ukaribu wa kawaida tu.
“Namshangaa sana huyu mdada kunitukana wakati hana hata hadhi ya kutukanana na mimi, Bwela alikuwa mume wangu lakini tukaachana kwa makubaliano hivyo hatuwezi kuwekeana kinyongo, mimi naongea naye vizuri, sasa nashangaa kuona eti ananitukana na sijui yeye na Bwela wakoje, watu wengine bwana!” alisema Amanda.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa