Mwanzo » » NIKKI WA PILI ATOA TAMKO KUHUSU LORD EYEZ BAADA YA TUHUMA ZA WIZI.

NIKKI WA PILI ATOA TAMKO KUHUSU LORD EYEZ BAADA YA TUHUMA ZA WIZI.

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday, 4 March 2014 | 15:05

Nikki wa Pili
Baada ya msanii anayehesabika kuwa chini ya kundi la hip hop bongo la Wuesi toka Arusha Lord Eyez kutuhumiwa kwa wizi wa Laptop jijini Arusha taarifa toka kwa msemaji wa Kundi Nikki Wa Pili amesema kuwa kuanzia sasa Lord Eyez sio member wa Kundi la Weusi na hiyo ni kutokana na tuhuma kadhaa mara kwa mara za wizi na Kapuni imesimamisha kila kitu kilichokuwa kikimuhusu Lord Eyez kikazi na kwa jambo lolote katika Kampuni ya Weusi.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa