Ni baada ya kufanya poa sana katika Game la Bongo kwa ngoma kibao ikiwemo ile ya ''UZURI WAKO'' ambapo katika kukamilisha kichupa cha ngoma hiyo alisafiri na kwenda Japan kushoot video ambayo ilileta gumzo na kudaiwa kuwa imefungiwa ingawa kwa mujibu wa Juma Jux mwenyewe anadai kuwa hajaletewa barua ya kumtaarifu kama msanii mmiliki wa wimbo wa Uzuri wako sasa ikiwa chini ya AM Rec na mtayarishaji akiwa ni yule mdogo wake na Maneck wakuitwa Bob Maneck waamekamilisha kazi inayokwenda kwa jina ''NITASUBIRI'' DOWNLOAD HAPA BURE.
wing888 slot เกมสล็อตแตกง่าย บริการไวปลอดภัยสูง
-
wing888 slot คือชื่อที่ถูกพูดถึงอย่างต่อเนื่องในกลุ่มผู้ชื่นชอบเกมออนไลน์
เพราะที่นี่ให้ความรู้สึกมั่นคงตั้งแต่แรกเข้า
พร้อมด้วยระบบที่เสถียรตอบสนองไวต่อกา...

Post a Comment