Mwanzo » » (PICHA) SHUHUDIA MAAFA MAKUBWA YALIYOSABABISHWA NA MVUA KUBWA JIJINI DAR ES SALAAM.

(PICHA) SHUHUDIA MAAFA MAKUBWA YALIYOSABABISHWA NA MVUA KUBWA JIJINI DAR ES SALAAM.

Imewekwa ma Unknown siku Friday 28 March 2014 | 07:56

    Mwavuli unaotumiwa na wafanyabiashara wadogowadogo  ukiwa umechukuliwa na maji na kutumbukia kwenye shimo eneo la stendi ya mabasi Ubungo.
         Maji yakiwa yametuhama kwenye shimo stendi ya mabasi Ubungo.
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia jana na leo imesababisha maafa kwenye baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam ambapo katika mizunguko ya  kamera yetu  imenasa  eneo la nje ya stendi ya Mkoa, Ubungo maji yakiwa yamejaa kila  pande huku wafanyabiashara wadogo wanaofanyia kazi eneo hilo, miavuli yao na vitendea kazi vikisombwa na maji huku mashimo yaliyokuwa yamechibwa katika utengenezaji wa barabara yakizidi kuporomoka.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa