Mwanzo » » KUWA WAKWNZA KUIONA PICHA YA WEMA NA DIAMOND KWA MARA YA KWANZA WANAKUTANA WALIKUWA NA OMMY DIMPOZ.

KUWA WAKWNZA KUIONA PICHA YA WEMA NA DIAMOND KWA MARA YA KWANZA WANAKUTANA WALIKUWA NA OMMY DIMPOZ.

Imewekwa ma Unknown siku Friday 28 March 2014 | 07:51

Inaaminika katika mapenzi au uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuandikwa sana kwenye mitandao na magazeti Tanzania, huu wa mwigizaji Wema Sepetu na Diamond Platnumz umevunja rekodi, mastaa ambao walifikia mpaka kuvalishana pete ya uchumba.

Screen Shot 2014-03-28 at 1.52.37 AM
Pamoja na yote waliyopitia bado kalamu za Waandishi mbalimbali zilihusika kuwaandika.
Ommy Dimpoz ambae ni rafiki wa Diamond kitambo hata kabla hatawa staa (Ommy) ameshea hii picha inayowaonyesha Wema na Diamond walipokutana kwa mara ya kwanza na kuiambatanisha na hii caption hapa chini.
Screen Shot 2014-03-28 at 1.52.48 AM
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa