Mwanzo » » RAPPER BENZINO APIGWA RISASI NA MPWA WAKE.

RAPPER BENZINO APIGWA RISASI NA MPWA WAKE.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 12:11



Benzino


Rapper wa Marekani Benzino apigwa risasa na mpwa wake Gai Scotti ikiwa kinachotajwa mpaka kupigwa risasi ni ugomvi wa kifamilia kati yao.

Rapper Benzino akiwa hospitali na matibabu yakiendelea.

Kwa mujibu wa vyombo toka Marekani na kwamba rapper huyu Benzino ambaye ni Star wa Love and hip hop na aliyekuwa mmiliki wa jarida la zamani la The Sources alikuwa ndani ya gari tayari kuelekea katika mazishi ya mama yake na Gai Scotti akiwa amesimama nje ya gari alililenga Gari la Benzino na kulimimia risasa zilizompata Benzino na walioweza kufika walimsaidia kumpeleka hospitali na kwasasa anaendelea vizuri.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa