|
Lord Eyez |
Rapper aliyekuwa moja kati ya waliokuwa wakiunda kundi la N2N Soldiers ambaye kwa sasa ni mmoja ya wanounda kundi la weusi Lord Eyes ambaye mwaka wa jana(2013) alituhumiwa kumuibia Power Window ya Gari msanii mwenzake wa Bongo fleva Ommy Dimpoz na sasa huko siku ya Ijumaa jioni Arusha Msanii Lord Eyez anatuhumiwa kuimba Laptop aina ya Dell mali ya kampuni ya Vodacom Tanzania ambayo imeelezwa kuwa Laptop hiyo ilikuwa nayo mfanyakazi wa kampuni hiyo na RB NO. 3011.
Baaada ya tukio hilo la siku ya Ijumaa muibiwa alitoa taarifa polisi na mippango ya Lord Eyez zikaanza kufanyika na siku ya kuamkia Jumapili na kwa sasa Lord yuko chini ya ulinzi wa polisi huko Arusha na anakana kutenza tukio la kuiba Laptop ambapo waibiwa wanadai kuwa wakiwa katika hotel moja ambapo pia Lord naye alikuwa hapo alitoka nje na ikasemekana kuwa alipolizia kemikali kioo na kioo cha gari kikageuka chenga chenga na kufanya wizi wa Laptop.
Post a Comment