Movie inakwenda kwa jina ''Tranged Mess'' ambayo imechezwa na Hemed PHD mwenyewe na mastar kibao wa movie maarufu nchini Zambia ambapo movie hiyo iko chini ya usimamiz wa miliki wa kampuni ya movie ya ''CASSIE KABWITA FILM'' anayekwenda kwa jina Cassie Kabwita ambaye amecheza kama mama wa familia na kama mke wa Hemed katika movie na Hemed kuanzisha mahusiano na mtoto wa kike(Franciar Msiska) ambaye hakuwa mtoto wa Hemed na mama(Cassie) alificha siri Hemed asijue ukweli wa kuwa alimpata nje mtoto yule wa kike.
TRAILER...
Post a Comment