Mwanzo » » SAFARI YA DIAMOND NCHINI NIGERIA SASA AANZA INTERVIEW VITUO VIKUBWA VYA HUKO.

SAFARI YA DIAMOND NCHINI NIGERIA SASA AANZA INTERVIEW VITUO VIKUBWA VYA HUKO.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 14:26



Diamond Platnumz yupo Nchini Nigeria kwa ajili ya Kufanya Video ya Wimbo wake Mpya ambao Hadi sasa bado haujajulikana ni Wimbo upi kati ya Nyimbo zake ambazo amesha zirekodi tayari. Muda Mfupi kupitia Ukurasa wake wa facebook Msanii huyo wa Bongo fleva amepost picha ambayo inamuonesha yuko studio akifanya Interview na Moja ya Kituo cha Radio nchini Humo na Aliandika Hivi:
“dakika chache zilizo pita nlikuwa kwenye interview na moja ya kituo kikubwa cha Radio, mjini Lagos Nigeria... #Doagric@thebeat999fm
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa