Mwanzo » » HIVI NDIVYO MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE KAJALA ALIVYJIBU TUHUMA ZA YEYE KUJIUZA NCHINI CHINA.

HIVI NDIVYO MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE KAJALA ALIVYJIBU TUHUMA ZA YEYE KUJIUZA NCHINI CHINA.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 14:34

kajalaStaa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja.
UZUSHI! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameitolea mbavuni skendo ya kujiuza nchini China inayowatafuna mastaa wengi wa kike Bongo.
Kajala ambaye mara kwa mara amekuwa akisafiri kwenda nchini China, alipozungumza na paparazi wetu aliruka viunzi na kufafanua:“China nakwenda kwa pesa zangu, nalipa dola 5000 (business class), nina dili zangu za kikazi na si kujiuza kama wapo wanaofanya hivyo ni wao lakini si mimi.”
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa