Mwanzo » » SHEDDY CLEVER: NINA MPANGO HUU KATIKA MUZIKI WANGU.

SHEDDY CLEVER: NINA MPANGO HUU KATIKA MUZIKI WANGU.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 5 March 2014 | 10:46


Mtayarishaji ambaye amesikika mara kadhaa akifanya ngoma zinafanya vizuri ikiwemo ile my number one yake Diamond Platnumz sasa amesema kuwa ili kupanua kazi zake kama mtayarishaji bora anampango wa kuwakutanisha wakali Toka Uganda Jose Chamelion na kutoka Tanzania Daimond Platnumz na hii ni moja ya kazi ambazo Sheddy anatamani kuzikamilisha hivyo yuko mkakatini kukamilisha hilo.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa