Mwanzo » » (VIDEO) DAVIDO AKIWAOMBA RADHI MASHABIKI KWA TUKIO LA SHOW YAKE YA MAREKANI KUVUNJIKA.

(VIDEO) DAVIDO AKIWAOMBA RADHI MASHABIKI KWA TUKIO LA SHOW YAKE YA MAREKANI KUVUNJIKA.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 12:55

clip_image002

Ijumaa iliyopita Star wa Nigeria Davido alikuwa anatarajiwa kufanya show New York, Marekani show ambayo imeacha historia ya kupata watu nyomi kiasi cha kusababisha hadi polisi wa New York kuingilia kati na kuifunga kwa sababu za kiusalama kutokana na wingi wa watu.


clip_image002[5]


Show ya New York ndio ilikuwa ya kwanza katika tour yake ya Marekani na Canada, na hiki ndicho alichokiandika Instagram baada ya show hiyo kuzuiwa na polisi.


clip_image002[7]


“Damn! My NY was too packed, police shut it down! The love and support that came out was overwhelming!!! I will be back! Really Sad!”

Tazama video (hapo chini) jinsi show hiyo ya New York ilivyojaa watu pamoja na Davido akiomba radhi mashabiki wake wa New York kwa kile kilichotokea.

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa