Mwanzo » » WEMA SEPETU APATA KIBALUA KIKALI,DIAMOND ANATAKA MTOTO.

WEMA SEPETU APATA KIBALUA KIKALI,DIAMOND ANATAKA MTOTO.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Monday, 24 March 2014 | 23:28




Diamond Pltnumz ameonekana kuwa na wivu wa maendeleo baada ya kuona watu wake wa karibu wakipata watoto naye aona hana budi kupata wakwake  na hiki ndicho alichokipost kupitia ukurasa wake wa Instagram.



Tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na @tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima sasa nianze kufyatua copy zangu ��.. �������� au mda wangu Bado???
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa