Mwanzo » » HII NI MOJA YA COLLABO ZILIZOMSAFIRISHA DIAMOND PLATUMZ MPAKA NIGERIA.

HII NI MOJA YA COLLABO ZILIZOMSAFIRISHA DIAMOND PLATUMZ MPAKA NIGERIA.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday 2 April 2014 | 08:04

Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos,  Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya. katika video hii fupi, inamuonyesha diamond akiwa ndani ya studio hizo, huku Iyanya akiimba kwa ku-Freestyle kwa lugha ya kiswahili. 

"Nimemalizia kufanya ngoma na Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri jana kuelekea nchi Uingereza, basi akirudi ntapanga nae siku ya ku-record video na akili yangu yote inanituma kuifanyia nchini uingereza. nina plan kubwa sana na video ya wimbo huo." amesema Diamond.



Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa