Mwanzo » » TAYARI ELIZABETH MICHAEL ''LULU'' AMKUBALI MO-MUSIC MSANII MPYA TOKA MWANZA, CHECK KILA KITU HAPA.

TAYARI ELIZABETH MICHAEL ''LULU'' AMKUBALI MO-MUSIC MSANII MPYA TOKA MWANZA, CHECK KILA KITU HAPA.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday 2 April 2014 | 08:46

MO-MUSIC


MO-MUSIC ni Msanii mpya wa muziki wa Bongo Fleva toka jiji la Mwanza ambaye kwa kila anayeujua muziki na kupata bahati ya kumsikia ameshakiri kuwa kijana anayestahiri kuitwa mkali miongoni mwa wakali wanaofanya muziki Bongo.



 Ni mwishoni mwa mwaka jana wa 2013 na mapema mwanzoni mwa mwaka huu amegundulika kuwa na uwezo huo kimuziki mara baada ya kuiachia ngoma yake rasmi inayokwenda kwa jina ''BASI NENDA'' iliyotayarishwa jijini mwanza chini ya studio inayujulikana kama K-Rec na mtayarishaji akiwa ni Lolpop a.k.a Lol Pipi a.k.a Loly Mwaaaaah na ngoma hivyo kuwa tishio kwa kuwateka akina dada na wamama na baadhi ya vijana wapenda muziki soft wa bongo fleva.


Miongoni mwa walioonesha kumkubali sana Mo-Music kwa ngoma yake ya BASI NENDA ni pamoja bongo movie star Elizabeth Michael alimaarufu kama ''LULU'' kwa kufanya kile ambacho kila msanii anapenda kufanyiwa pindi anapoa achia ngoma yaani kuingia mtandaoni na kupakua wimbo huo na kisha kingine alichokifanya LULU ni kujirecord akionesha kuusikiliza na kufatisha akiuimba wimbo wa MO-MUSIC na meisho kupost video hiyo katika mtandao wa picha video wa Instagram.



Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa