Mwanzo » » NGOMA HII KALI TOKA KWA YOUNG KACHA IKO NJIANI (COMING SOON)

NGOMA HII KALI TOKA KWA YOUNG KACHA IKO NJIANI (COMING SOON)

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday 8 April 2014 | 20:33

Baada ya kutoa remix ya dear gambe na kupiga kiki ndefu na kubwa..pia akaja kutoa wimbo mkali na mkubwa TRAVELLER akimshirikisha kaka yake wa damu DARASA..pia tena akuishia apo akaja kutoa wimbo mwingine wa taifa uliomfanya ajulikane zaidi na zaidi BORA BABA ANGEKUWA MBUNGE, ambao wimbo huo pia ulimuwezesha kumpa wadhamini wa muziki wake pamoja na wadhamini ambao walisimamia mavazi yanayoenda kwa jina la wimbo huo <bora baba angekuwa mbunge> sasa bwana mdogo huyo ambae anawaumiza sana vichwa ma Young Rappers wenzie kama Young Killer na Young Dee, ameamua kuja na kibao kingine cha taifa akimshirikisha WALTER CHILAMBO..WImbo una kwenda kwa jina la I BELIEVE ONE DAY, na siku si nyingi utakuwa umetoka..maana kubwa na kwanini wimbo unaitwa ivyo, ngoja tuungoje afu tutaelewa......
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa