Mwanzo » » (PHOTOS) HIVI NDIVYO MCHEKESHAJI JOTI ALIVYOFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA NA LULU.

(PHOTOS) HIVI NDIVYO MCHEKESHAJI JOTI ALIVYOFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA NA LULU.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 3 July 2014 | 13:14

Hatimaye Msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu afunga Ndoa ya Kimya Kimya na Msanii wa Vichekesho Lucas Mhavile maarufu kama JOTI. Ndoa hiyo ya Kimya imefungwa siku chache zilizopita katika fukwe za Kiota cha Maraha cha Escape 1 Mikocheni.
Mchungaji akiwafungisha Ndoa hiyo ambae pia ana kipawa cha Uchekeshaji na MC aitwaye Mc Pilipili.
Lulu akiwa katika vazi la Harusi kabla hajafunga ndoa hiyo.Ndoa hiyo itarushwa leo Saa Nne usiku katika Kituo cha Runinga cha ITV na Marudio yake itakuwa ni Jumapili saa 10 Jioni na Jumatano saa 5 usiku.
Najua ungependa kujua Ndoa hiyo ya Lulu na kuona jinsi ilivyokuwa usikose leo Saa 4 usiku katika Runinga ya ITV. Picha Zote na Josephat Lukaza
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa