Mwanzo »
» DIAMOND PLATNUMZ KUACHIA VIDEO MBILI KWA MPIGO SIKU YA KUZALIWA KWA MAMA YAKE MZAZI.
Ni taarifa aliyoitoa @DIAMOND PLATNUMZ mwenyewe kupitia kurasa zake mitandaoni na kusema kuwa siku ya tarehe 7 mwezi wa saba yaani sabasaba day mwaka huu ni tarehe ya kufanana na siku aliyozaliwa mama yake mzazi na alichoamua kufanya katika kusherehekea siku hiyo ya mama yake amsema kuwa siku hiyo ataachia video zake mbile kwa mkupuo na baada ya hapo kila kituo kitaweza kucheza video za nyimbo hizo ambazo moja ameshaiachia inayokwenda kwa jina Mdego mdogo na nyingine inayofiwa kuachiwa siku hiyi ni Bum Bum aliyofanya na mkali Iyanya hivyi wadau na mashabiki wa muziki wa Diamond Platnumz kaeni mkao wa kupokea kazi hizo mpya na kali kutoka kwake.
Post a Comment