Mwanzo » » BREAKING NEWSSSSS... BASI LAGONGA TRENI NA WATU KUPOTEZA KUPOTEZA MAISHA.

BREAKING NEWSSSSS... BASI LAGONGA TRENI NA WATU KUPOTEZA KUPOTEZA MAISHA.

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 28 February 2014 | 12:56



Asubuhi ya leo Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dododma kuelekea jijini Mwanza na ajali ya basi hilo limegonga Treni eneo la Manyoni Singida.

Ajali hiyo ya Basi na Treni imesababisha vifo vya watu wanne waliokuw abiria wa Basi la Bunda Bus Express.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa