Akijaribu kujitetea mbele ya camera za Tv aisema uwa zipo pich ambaya ambazo yeye akama yeye hakuzipiga ila tu ni editing za mabloggers wanazofanya kwa ajili ya kumchafulia tu lakini akasahau kkuwa zipo picha ambazo yeye uzipost kupitia ukurasa wake wa instagram ambao umejaa picha kibao ambazo ndizo baadhi ya mabloggers utumia katikahabari zao.
Hata hivyo katika kipimo cha maneno aliyokuwa akiyazungumza ilionekana kuwa wengine wanamuharibia kwa Prezzo kwakuwa kwasasa yuko katika na msanii Colonel Mustafa ambaye alikuwa naye katika kipindi hicho cha mahojiano na waliweka wazi mahusiano yao pale pale katika mahojiano.
BAADHI YA PICHA MBAYA ZA HUDDAH AMBAZO AMESEMA ATAWALIPAGOOGLE WAZITOE ZIKO KATIKA LINK HAPO CHINI.
ONE
TWO
THREE
FOUR
FIVE
SIX
Post a Comment