Darassa aliachia mixtape yake mwaka jana na alikuwa akiendeleza harakati za kibiashara kuhusu projrct hiyo ya Dream Big Chapakazi ila ili kuepeusha mambo mengine ameamua kuachana na brabd name hiyo na anaplan kutafuta jina lingine ambalo anafaikiri litafaa zaidi na atatumia zaidi utafiti kuhakikisha mara hii halifanani tena na ubunifu wa mtu wingine.
Uamuzi huo wa yeye kuachana na jina la mixtape ya Vol. 1 ya Dream Big-Chapakazi Mixtape sasa haijaulikana kama Darassa atakuja na Vol 2 au jina la volume litakuwa jipya na itaanza mwanzo yaani Vol 1 au Vol 2...
Post a Comment