Mwanzo » » HIKI NDIO KIASI CHA PESA KILICHOINGIZWA KATIKA MECHI YA SIMBA FC NA AZAM FC.

HIKI NDIO KIASI CHA PESA KILICHOINGIZWA KATIKA MECHI YA SIMBA FC NA AZAM FC.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 17:01

pesaa
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Azam na Simba iliyochezwa jana Machi 30 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imeingiza jumla ya sh. 26,455,000,amabyo ilikua na Watazamaji 4,741 walikata tiketi kushuhudia pambano hilo ambapo Azam iliibuka na ushindi wa mabao 2-1

Viingilio vilikuwa sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000,mgawanyo kwa mapato ulikuwa kama ifuatavyo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) sh. 4,035,508.47,gharama za kuchapa tiketi sh. 3,908,686 wakati kila klabu ilipata sh. 5,460,687.63,uwanja sh. 2,776,620.83,gharama za mechi sh. 1,665,972.50, Bodi ya Ligi sh. 1,665,972.50.
Mapato mengine yalienda kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh. 832,986.25 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 647,878.19.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa