Kuwa na Clothing Line imekuwa kazi ya wasanii wengi duniani kama Nelly, Puff Daddy, Jay Z na Lil Wayne. Hapa Tanzania mpaka sasa wasanii kama Tmk Wanaume, Izzo Bizness wamekuwa na nguo zao wenye we na sasa Jux ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye clothing Line Tanzania
Kama picha inavyoonyesha nguo za Jux kama vest na T Shirt zitakuwa na picha yake. Kupitia Kurasa yake ya Facebook jux “My #25 JUX Vests Line zitaanza kuuzwa pale –> STAR LOOK – Sinza exclusively very soon! Zipo kwa jinsia zote kwa wanaume na wanawake pia!! #AfricanBoy ”
“#AfricanBoy My Vests are coming soon!! Will be available at STAR LOOK – Sinza! Also Watch Nitasubiri (Official Video) ”
cREDITY: sammisago.com
Post a Comment