TANGAZA NASI

LIKE UKURASA WETU ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

Habari mpya

MSANII JUMA JUX KUINGIZA NGUO ZAKE SOKONI SOON KUANZIA SASA.

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 18 July 2014 | 12:13

Kuwa na Clothing Line imekuwa kazi ya wasanii wengi duniani kama Nelly, Puff Daddy, Jay Z na Lil Wayne. Hapa Tanzania mpaka sasa wasanii kama Tmk Wanaume, Izzo Bizness wamekuwa na nguo zao wenye we na sasa Jux ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye clothing Line Tanzania
Kama picha inavyoonyesha nguo za Jux kama vest na T Shirt zitakuwa na picha yake. Kupitia Kurasa yake ya Facebook jux “My #25 JUX Vests Line zitaanza kuuzwa pale –> STAR LOOK – Sinza exclusively very soon! Zipo kwa jinsia zote kwa wanaume na wanawake pia!! #AfricanBoy ”
#AfricanBoy My Vests are coming soon!! Will be available at STAR LOOK – Sinza! Also Watch Nitasubiri (Official Video) ”
Jux 2Jux

cREDITY: sammisago.com

DIAMOND PLATNUMZ KUACHIA VIDEO MBILI KWA MPIGO SIKU YA KUZALIWA KWA MAMA YAKE MZAZI.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 5 July 2014 | 20:09


Ni taarifa aliyoitoa @DIAMOND PLATNUMZ mwenyewe kupitia kurasa zake mitandaoni na kusema kuwa siku ya tarehe 7 mwezi wa saba yaani sabasaba day mwaka huu ni tarehe ya kufanana na siku aliyozaliwa mama yake mzazi na alichoamua kufanya katika kusherehekea siku hiyo ya mama yake amsema kuwa siku hiyo ataachia video zake mbile kwa mkupuo na baada ya hapo kila kituo kitaweza kucheza video za nyimbo hizo ambazo moja ameshaiachia inayokwenda kwa jina Mdego mdogo na nyingine inayofiwa kuachiwa siku hiyi ni Bum Bum aliyofanya na mkali Iyanya hivyi wadau na mashabiki wa muziki wa Diamond Platnumz kaeni mkao wa kupokea kazi hizo mpya na kali kutoka kwake. 

(PHOTOS) HIVI NDIVYO MCHEKESHAJI JOTI ALIVYOFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA NA LULU.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 3 July 2014 | 13:14

Hatimaye Msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu afunga Ndoa ya Kimya Kimya na Msanii wa Vichekesho Lucas Mhavile maarufu kama JOTI. Ndoa hiyo ya Kimya imefungwa siku chache zilizopita katika fukwe za Kiota cha Maraha cha Escape 1 Mikocheni.
Mchungaji akiwafungisha Ndoa hiyo ambae pia ana kipawa cha Uchekeshaji na MC aitwaye Mc Pilipili.
Lulu akiwa katika vazi la Harusi kabla hajafunga ndoa hiyo.Ndoa hiyo itarushwa leo Saa Nne usiku katika Kituo cha Runinga cha ITV na Marudio yake itakuwa ni Jumapili saa 10 Jioni na Jumatano saa 5 usiku.
Najua ungependa kujua Ndoa hiyo ya Lulu na kuona jinsi ilivyokuwa usikose leo Saa 4 usiku katika Runinga ya ITV. Picha Zote na Josephat Lukaza

(AUDIO) ADAM MCHOMVU,DJ FETTY & B12 MKONO WATEMBEZWA ONAIR LIVE KATIKA SHOW YA XXL YA CLOUDS FM.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 2 July 2014 | 19:02

 Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea mda huu kwenye kipindi cha xxl..  sikiliza hapa



Inshu nzima  iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?

 Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta 

 Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza

 Kikanuka zaidi!

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 

Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...

Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa

Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani..

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

BOFYA HAPA KUSIKILIZA

(PHOTOS) BASI LA MAHABUSU LASHAMBULIWA NA MAJAMBAZI JIJI DAR ES SALAAM.

Baadhi ya mashuhuda wakwa wanashangaa na kutoamini tukio hilo linalosemekana lilikuwa kama muvi.
Baadhi ya mashuhuda wakiwa wanashangaa na kutoamini kutokea kwa tukio hilo linalosemekana lilikuwa kama muvi.
Basi la magereza lililokuwa limebeba mahabusu na wafungwa likisindikizwa na askari polisi limeshambuliwa kwa risasi na watu wenye silaha wanaosadikika kuwa ni majambazi, ameeleza shuhuda mmoja.
Watu hao wenye silaha walikuwa wakitokea kwenye kituo cha Nyerere jijini Dar es Salaam walilishambulia basi hilo na kuwajeruhi baadh ya askari.
Mahabusu waliokuwa kwenye basi hilo walianza kushangilia wakati tukio hilo likifanyika, huku ikisemekana kuwa lengo la shambulio hilo ni kuwatorosha mahabusu hao.
Gari la askari likiwa linasindikiza basi hilo la mahabusu, mbale yake ni gari ya wagonjwaa (ambulance).
Gari la askari likiwa linasindikiza basi hilo la mahabusu, mbale yake ni gari ya wagonjwaa (ambulance).
Taarifa zinasema kwamba baada ya kushambulia basi hilo, majambazi hao waliweza kukimbia mahali pasipojulikana.
Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote kutoka jeshi la polisi na jeshi la magereza kuhusiana na tukio hilo la leo.
Upande wa basi hilo la mahabusu likionekana kupasuliwa kioo na watu hao wanaosadikika kuwa ni majambazi.
Upande wa basi hilo la mahabusu likionekana kupasuliwa kioo na watu hao wanaosadikika kuwa ni majambazi.

NDEGE YA MIZIGO YA PATA AJALI NCHIKI KENYA NA KUSABABISHA VIFO AKIWEMO RUBANI WA NDEGE HIYO.

Watu wanne akiwemo Rubani wa ndege moja ya mizigo, wamefariki dunia baada ya ndege walimokuwa kuanguka mapema leo asubuhi katika mtaa wa Embakasi jijini Nairobi.
Kwa mjibu wa shirika la msalaba mwekundu nchini Kenya, ndege hiyo ilianguka dakika chache tu baada ya kuruka kutoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.
Ndege hiyo ya mizigo ilikuwa imebeba shehena ya Miraa ama Mairungi kuelekea Mogadishu nchini Somalia.
Uchunguzi umeonyesha kuwa ndege hiyo huenda iligonga mlingoti wa stima karibu na mtaa wa Embakasi, mjini Nairobi na kuanguka.

HII NDIO RATIBA YA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014.


Raiba ya mechi za robo – fainali imetoka. Mechi ya kwanza ni saa 1:00 usiku, ya pili 5:00 usiku. Muda huo ni kwa saa za Afrika Mashariki.
Ijumaa, Julai 4.
Ufaransa v Ujerumani : Saa 1 usiku
Brazil v Colombia : Saa 5 usiku
Jumamosi, Julai 5.
Ubelgiji v Argentina : Saa 1 usiku
Uholanzi v Costa Rica : Saa 5 usiku.

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

MASTAR

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa